Balozi alitoa nafasi ya wanachama wa Corner kumuuliza maswali.
Wanachama wakifuatilia mjadala.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar(SUZA) Prof. Idris Rai wa kwanza kulia akifuatiwa na Mkurugenzi wa Huduma za Maktaba SUZA Maalim Hafidh Nassor pamoja Mratibu wa American Corner Bwana Mohamed Khamis wakipokea Kompyuta kutoka kwa Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mh.Alfonso E.Lenhardit.
Mh. Balozi akiwa amebeba Diary aliyokabidhiwa na Makamu Mkuu wa Chuo kulia
Balozi akiagana na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. I dris Ahmada Rai.
Picha ya pamoja ya balozi, viongozi wa Chuo pamoja na wanachama wa American Corner