Tuesday, April 10, 2012

MASIKINI LULU


Habari kama inavyojieleza imenigusa sijui wewe mdau unasemaje?

INASEMEKANA HAJAFIKISHA MIAKA 18....BADO ANA 17, KWA MUJIBU WA ALIOONA CHETI CHAKE CHA KUZALIWA

Atakuwa anazo sababu za kuamua kudanganya umri na mengineyo...... labda kama akipewa nafasi ya kuzungumza tunaweza kujua zaidi ana matatizo gani huyu binti jamani.
 
Tusiwe wepesi wa kuhukumu panapohitajika msaada basi asaidiwe
Kiwanda cha sanaa ya burudani,(Muziki, cinema) kina vishawishi vingi sana, usipo kuwa imara na hasa kwa wasichana wadogo wanaokuwa hawana msimamo katika maisha yao, au wanaokuwa wanatoka katika familia duni na wanahitaji kuzisaidia familia kwa njia moja au nyingine....

Watu wazima wanapatwa na vishawishi na wanashindwa kuvivuka, tunayaona kila siku.
Sembuse mtoto mdogo kama Lulu?
Huyu ni mmoja tu tunaemjua, lakini wapo wengi ambao ni wajeruhiwa na wanahitaji msaada katika swala kama hili.

 Ungana na Mhe. Halima Mdee (Mbunge Kawe, CHADEMA) kwenye twitter @halimamdee na kupata ufafanuzi na maelezo ya ziada ikiwa yatahitajika.

Mara zingine inaweza kuwa inachangiwa na wazazi pia
Ukiona mtoto wa mwenzio anapotea sio kupigilia msumari aendelee kuangamia bali kujaribu kumuokoa.

REST IN PEACE KANUMBA.

Tuesday, April 10, 2012

Taswira Zaidi Kwenye Mazishi Ya Kanumba




Makamu Wa Rais ameongoza shughuli hiyo. Leo Jumanne. Picha: Issa Michuzi

Sunday, March 11, 2012

JK akutana na madaktari Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amekutana na viongozi wa Chama Cha Madaktari (MAT) Ikulu Dar es Salaam leo ili kufikia suluhisho la sintofahamu inayoendelea.

Katika hilo, kikao kilichotangazwa jana kuwa JK angekutana na wazee wa Dar es salaam, kimeahirishwa mpaka kesho kwanza kutokana na amri ya Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi.
Mahakama Kuu Disheni ya Kazi katika amri iliyotoa jana jioni, iliagiza mgomo wa madaktari usitishwe mara moja na wahusika warudi kazini kuendelea na majukumu yao.
Kutokana na hati ya zuio la mgomo wa madaktari, JK aliamua kuutumia muda huu kukutana na viongozi wa MAT kwa lengo la kutafuta ufumbuzi wa pamoja.
Hata hivyo, kile kinachozungumzwa kwenye mkutano huo hakijawekwa wazi, ingawa kuna matarajio ya ama Ikulu au MAT kutoa taarifa kesho kuhusu mkutano huo.
Kwa upande mwingine, mgomo wa madaktari umeendelea leo licha ya amri ya mahakama, huku wagonjwa wakiendelea kuhamishwa

Sunday, February 12, 2012

MAMBO YA 'LADY IN REDS 2012' SERENA HOTEL DSM

MAMBO YA 'LADY IN REDS 2012'

Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa mtindo Asia Idarous Khamsin akiwakaribisha wageni katika onyesho hilo lililofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Katika onyesho hilo pamlichangishwa fedha kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha kuhudumia watu walioathirika na madawa ya Kulevya nchini Tanzania ambacho kitakachojengwa huko Kikale, Rufiji mkoani Pwani.

Mambo hayooooo, mwanadada ambaye alipanda katika ufunguzi.kitakachojengwa huko Kikale, Rufiji mkoani Pwani.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Chiddy Benzi akiwasha moto
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 (wa kwanza kulia) Mama wa mtindo Asia Idarous Khamsin akiwa na mumewe Mzee Khamsin katika onyesho hilo lililofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Katika onyesho hilo pamlichangishwa fedha kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha kuhudumia watu walioathirika na madawa ya Kulevya nchini Tanzania ambacho kitakachojengwa huko Kikale, Rufiji mkoani Pwani
Ehe! umeona mbao hayo...
Safi, (kulia) mbunifu wa mavazi akiwa na mwanamitindo wake.
Mbunifu chipukizi akiwa na mwanamitindo wake.
Haya sasa, unalo la kusema...'Lady In Lady' Reloaded 2012.
'Lady in Red' Reloaded 2012 liliyofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.
Wabunifu wachanga walionyesha mambo yao.
Ehe! mambo ya kizamani... kitu cha kaptula
Mkurugenzi wa Benchmark Production Ritah Paulsen akiwa katika pozi na kivazi chake.Jaquiline Patrick na mrembo Lisa Jensen wakipozi kwa picha katika onyesho hilo.

Whitney Houston's 19-year-old daughter was taken in Hospital After Suffering Breakdown Over Mother's Death



Bobbi Kristina Brown and Jennifer Hudson
Whitney Houston and her daughter Bobbi Brown



Bobbi Kristina Brown Whitney Houston only child with singer Bobby Brown, has been so distraught over her mother's death she's been hospitalized twice since Saturday afternoon.

On Saturday night Bobbi Kristina was taken to Cedars-Sinai hospital around 11pm because she was "hysterical, exhausted and inconsolable, She was not transported via ambulance. On Sunday morning she was again rushed to the hospital, but this time she was taken from her room at the Beverly Hilton hotel (where her mother died less than 24 hours earlier), on a stretcher and taken away in an ambulance. So far all that's known is that medical personnel were called to the room. No other information about the second hospital visit has surfaced.

Bobbi Kristina, 19, was in the lobby of the Beverly Hilton hotel around the time Houston was pronounced dead (3:55pm on Saturday). Houston was discovered partially submerged in the bathtub in her room.Bobbi broke down as medical personnel rushed into the room.

medical personnel rushed into the room.

"She was screaming, 'What's wrong with her? What's wrong with her?," the source said.

Saturday, February 11, 2012

WARSHA YA UANDISHI WA MISWAADA YA FILAMU/SCREENPLAY WORKSHOP(Level 1)

Je ?unajuakuwahadithizaFilamuzozotehujengwakwawahusika, wahusikandiyowabebalengozima la filamu? jewajuajinsiyakuwajengawahusikawakoiliwawezekubebalengo la hadithiyaFilamukiufasaha? jeunajuakuwaukikoseakumjengamhusikamkuukatikahadithiyaFilamuyakonivigumuhadithiyaFilamu bora? basiukitakakuyajuayotehayakaribukatikawarshayauandishiwamiswadayafilamu pale IDARA YA SANAA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM Kuanziatarehe 13-15 Februari2012 ,KutakuwanaWarshayaUandishiwaMiswaadayaFilamu/Screenplay Workshop(Level 1) , IdarayaSanaanaSanaazaMaonesho, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kilasikukuanziasaa 3 asubuhihadisaa 8 mchana , Cheti cha Ushirikikitatolewamwishonimwamafunzo.

Warshaitakuwakwa Kiswahili (naKiingerezaikibidi)namshirikianawezakuwamtuyoyoteanayependakuandikamiswadayafilamu (amateur scriptwriter) au mwandishianayechipukia (upcoming scriptwriter)

HimawadauwotewaTasniayaFilamu ,Sanaa, SanaazaMaonyeshonaUandishiwaubunifumsikosenafasihiimuhimuyawarshamafunzodaraja la kwanza ilikujijengeamisingimizuriyaUandishiwaMiswaadayaFilamu

KwamaelezozaidikuhusiananawarshahiitafadhaliwasiliananaIDARA YA SANAA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM ,Ndg.JohnMwakilamaSimuNamba0714 13 22 49, nabaruapepe :mwakilamajohn@yahoo.com

Monday, January 30, 2012

SUZA AMERICAN CORNER YAPOKEA KOMPYUTA MPYA KUTOKA KWA BALOZI WA MAREKANI







 Balozi alitoa nafasi ya wanachama wa Corner kumuuliza maswali.

 Wanachama wakifuatilia mjadala.

 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar(SUZA) Prof. Idris Rai wa kwanza kulia akifuatiwa na Mkurugenzi wa Huduma za Maktaba SUZA Maalim Hafidh Nassor pamoja Mratibu wa American Corner Bwana Mohamed Khamis wakipokea Kompyuta kutoka kwa Balozi  wa Marekani nchini Tanzania Mh.Alfonso E.Lenhardit.
Mh. Balozi akiwa amebeba Diary aliyokabidhiwa na Makamu Mkuu wa Chuo kulia
Balozi akiagana na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. I dris Ahmada Rai.
 Picha ya pamoja ya balozi, viongozi wa Chuo pamoja na wanachama wa American Corner